Nimefarijika kikosi ni kizuri. Mechi iliyopita hawa jamaa walitusumbua sana kwenye kiungo cha kati, kwa sababu tulikosa kiungo mwenye mapafu ya mbwa kama Duke Abuya, aliyeingizwa baadaye wakati timu ikiwa imepoteza mwerekeo.Kikosi cha YangaView attachment 3493419
Muchizi vungaNawaombea mpigwe kimoja tuu na Uchiziii
Wafungwe,hakuna cha laheri hapaKila la heri young sc...
Ngapi ngapi huko?
Ngapi huko