Aggregate 3:3 sasa ni mwendo wa mikwaju ya penati
Unazungumzia mechi iipi? Orlando kashinda goli 3:0 wakati mechi iliyopita alipigwa goli 3:0 hivyo aggregate ni 3:3Ni 2 - 1 wote hawana goli la ugenini
Unazungumzia mechi iipi? Orlando kashinda goli 3:0 wakati mechi iliyopita alipigwa goli 3:0 hivyo aggregate ni 3:3
Mjomba, kiko wapi! Tumefuzu eti!!! Hakuna cha Uchizi Vunga, wala nini.Ipatikane droo yeyote
Na mpaka muda huu bado hawajafuzu eti 😀😀Simba wamenuna.
Hakuna namna. Tuendelee tu kumpa nafasi. Ukienda kwa Boyeli ndiyo majanga zaidi.Kama tunataka kufanya vizuri kimataifa Dube hapana
Tuseme ukweli tu huyu katunyima magoli sana sijui anasumbuliwa na nini?
Kuna shida mahali aisee...Ila wachezaji wa Yanga ni wazembe sana katika kuzitendea haki nafasi
Ahaha!! Wache wanune tu mkuu..Simba wamenuna.
Angalau Yeye maana ndio tuliyenaye boyeli hata kutuliza ni shidaHakuna namna. Tuendelee tu kumpa nafasi. Ukienda kwa Boyeli ndiyo majanga zaidi.