Kwani mechi leo au kesho.?Nawahakikishia kuwa silver hawatafunga hata goli moja kesho
Lile lilikuwa bahati tu
Duke abuya na muda wakiwepo hiyo uchizi hata kupumua hatoweza
Mechi ni Leo yanga bingwaNawahakikishia kuwa silver hawatafunga hata goli moja kesho
Lile lilikuwa bahati tu
Duke abuya na muda wakiwepo hiyo uchizi hata kupumua hatoweza
LeoKwani mechi leo au kesho.?
saa 11jioni ya leo.Game inaanza saa ngapi?
Lazima Bacca amrukie Uchizi kwa jinsi siku hizi alivyo chizi halafu apewe umeme..Nawahakikishia kuwa silver hawatafunga hata goli moja kesho
Lile lilikuwa bahati tu
Duke abuya na muda wakiwepo hiyo uchizi hata kupumua hatoweza