FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

Timu yetu fitness za wachezaji ziko chini mno.

Doumbia nimemfatlia sana leo ni bonge moja la mchezaji.

Brain yake ya mpira ni kubwa sana.

Ana u Iniesta kama u Pedri fulani.

Changamoto kubwa ni fitness.
Upo sahihi japo watu wanamchukulia poa Doumbia ila ni bonge la mchezaji. Kwenye swala la fitness naona ni changamoto ya wachezaji wengi wa Yanga msimu huu hawana fitness. Uongozi walifanyie kazi hili la mwalimu wa fitness
 
Hivi ni nani aliyeshauri kumsajili Boyeli?
 
Hivi ni nani aliyeshauri kumsajili Boyeli?
Mkuu boyeli yupo kwa mkopo nadhani kule south ndio wameua kiwango chake alipokuwa Zambia alikuwa vizuri sana

Nadhani naye tumvumilie tu hatuna namna sikuhizi dunia ina upungufu wa mastriker sana hata ulaya ipo hivyo
Kwa sasa mastriker wazuri wanahesabika kwa vidole tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…