FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Ujinga unazidina ila wako ni highest to next level.
 
Uwanja unateleza kwa Yanga FC tu?

Akili zingine bhana,[emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kama umeangalia mpira natumaini umeona hilo mwamnyeto alitaka kupiga chenga akashindwa mpira ulikua kwenye maji, akapokonywa mpira karibu kabisa na box lakini yule jamaa wa monastir aliteleza akaanguka then yanga wakafanikiwa kuokoa hatari.
Elewa kinachoongelewa kabla hujajibu!
 
Walimu wanapaswa waheshimiwe sana maana hakuna kazi ngumu kama kuelemisha Mtu aliyejiandaa kubisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…