Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Uwanja unateleza kwa Yanga FC tu?Tushukuru uwanja una maji mwamnyeto alikua ameshachomesha
Akili zingine bhana,[emoji2]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja unateleza kwa Yanga FC tu?Tushukuru uwanja una maji mwamnyeto alikua ameshachomesha
Unawafedhehesha Wana Simba wanaojitambua waonekane Mbumbumbu, ficha upumbavu wako.Uwanja umewapa vyura advantage
Akili komavu ya upenzi wa mpira si ushabiki maandaziKila la heri watani wetu.
Kwa sasa sote tuna tetea bendera moja ya Taifa letu.
Ujinga unazidina ila wako ni highest to next level.Yanga kaingia robo fainali yani ni kama hamna kilichotokea, kimya watu bado wapo bize na ushindi wa jana,, ushindi mkubwa dhidi ya timu kubwa kwenye mashindano makubwa ya caf champions league,, ushindi wa kihistoria kwenye mechi yenye kuamua hatma. Anyways hongereni ila kwanini hamtaki kutuelewesha, sisi tunaitambua champions league pekee nyie wenzetu huko kwingine mnashirikishana nini ??
Hujui ushabikiBado nina hang over ya goli 7 aiseee...
Nasikia Yang'aaa wamekamatwa wanawanga leo hapo kwa mkapa
Iweke mfukoniJaman MONASTIR MSITUANGUSHE
HII AIBU TUTAIWEKA WAPI[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249]
Magoli pesaKweli sisi ni mpira wa miguu siyo kama netball ya jana😀😀 ndiyo maana haijafika week
Ww ndo unajua?Hujui ushabiki
Aibu tupu [emoji38]BADO NUSU SAA TAIFA LIAIBIKE
US MONASTIR DAMU [emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji881][emoji881]
Leo naiombea Young African wapate kile wanacho stahili kupata.
Amiin..
Kama umeangalia mpira natumaini umeona hilo mwamnyeto alitaka kupiga chenga akashindwa mpira ulikua kwenye maji, akapokonywa mpira karibu kabisa na box lakini yule jamaa wa monastir aliteleza akaanguka then yanga wakafanikiwa kuokoa hatari.Uwanja unateleza kwa Yanga FC tu?
Akili zingine bhana,[emoji2]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wewe ndo huelewi.Kama umeangalia mpira natumaini umeona hilo mwamnyeto alitaka kupiga chenga akashindwa mpira ulikua kwenye maji, akapokonywa mpira karibu kabisa na box lakini yule jamaa wa monastir aliteleza akaanguka then yanga wakafanikiwa kuokoa hatari.
Elewa kinachoongelewa kabla hujajibu!
Weka hapa hilo kombe la walioshindwa kama we Kolowizards unalo, domo reefu kama chuchunge [emoji16]kwahiyo yanga na mbwembwe zote wanashindana kombe la walioshindwa cyo
Walimu wanapaswa waheshimiwe sana maana hakuna kazi ngumu kama kuelemisha Mtu aliyejiandaa kubisha.Kwanini wapi nilipoonesha kuwa nimeahangaa Dickson Job kuwa benchi? Kwenye mpira wa miguu lazima kuwepo na wachezaji watakaokuja kubadili mchezo au kuumaliza mchezo kimbinu. Sio kila mchezaji anayekuwa benchi ni kwasababu ya ubovu. Na ndio maana makocha wanapoona mambo hayaendi sawa hufanya sub
Job leo kaanzia benchi. Kimo kimemgharimu. Good decision by Nabi
We mwenyewe ni goli 1 tu la kibabe ukazaliwa, zingine zote ni mbwembwe tu.Uto mtulipe saba za jana
Nakazia ni fedheha kabisa.Inamaana uwanja huu hauna drainage system ! Ni aibu sana
Hili jukwaa lina watu wa aina zote. Wahovyo pia wapoNikihamia YANGA utanipa