FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Yanga kaingia robo fainali yani ni kama hamna kilichotokea, kimya watu bado wapo bize na ushindi wa jana,, ushindi mkubwa dhidi ya timu kubwa kwenye mashindano makubwa ya caf champions league,, ushindi wa kihistoria kwenye mechi yenye kuamua hatma. Anyways hongereni ila kwanini hamtaki kutuelewesha, sisi tunaitambua champions league pekee nyie wenzetu huko kwingine mnashirikishana nini ??
Ujinga unazidina ila wako ni highest to next level.
 
Uwanja unateleza kwa Yanga FC tu?

Akili zingine bhana,[emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kama umeangalia mpira natumaini umeona hilo mwamnyeto alitaka kupiga chenga akashindwa mpira ulikua kwenye maji, akapokonywa mpira karibu kabisa na box lakini yule jamaa wa monastir aliteleza akaanguka then yanga wakafanikiwa kuokoa hatari.
Elewa kinachoongelewa kabla hujajibu!
 
kwahiyo yanga na mbwembwe zote wanashindana kombe la walioshindwa cyo
Weka hapa hilo kombe la walioshindwa kama we Kolowizards unalo, domo reefu kama chuchunge [emoji16]
JamiiForums-1072397695.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini wapi nilipoonesha kuwa nimeahangaa Dickson Job kuwa benchi? Kwenye mpira wa miguu lazima kuwepo na wachezaji watakaokuja kubadili mchezo au kuumaliza mchezo kimbinu. Sio kila mchezaji anayekuwa benchi ni kwasababu ya ubovu. Na ndio maana makocha wanapoona mambo hayaendi sawa hufanya sub
Walimu wanapaswa waheshimiwe sana maana hakuna kazi ngumu kama kuelemisha Mtu aliyejiandaa kubisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom