FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Tunajivunia kuwa na Jiniazi kama wewe
 
Waarabu hawa washalogwa wamekua mdembendembe...yani hii yanga nzitoo mnashindwa kuwapiga hata bao 5 kweli?
Fupa lililomshinda FISI (Simba) ndiyo umkabidhi CHUI (USM) kulitafuna?

Endeleeni kuwa Mipang'ang'a kwa kukaza tu mafuvu.

Yanga hii si ile ya migogoro ya kiuchumi hadi kupitisha kapu la michango kwa Wananchi ndiyo ijiendeshe, la sivyo Makolokolo mtaendelea sana kupata sonona [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mara hii tu mmeshatoka kwa Feisal na Musonda tena na kuhamia kwa Aziz Ki? [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna zile pasi Kofi.. (Outer pass) hakuna pira kuzungurukiwa kwa juu.. Hakuna TECHNICAL TACKLES kama za Inonga.

Hakuna Penetration skills and dribbling skills kama za Chama hakuna zile stop stop.. Finya punguza chapa kibao.
Hizi zilienda likizo Simba ilipocheza na Raja Casablanca au shida ilikuwa ni nini Mchambuzi uchwara wa soka la Bongo toka Vingunguti TZ? [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
kileleni kuna baridi sana
Mara ya MWISHO Makolokolo kukaa juu kwenye baridi kali sana ni 2020 VPL.

Mara ya MWISHO Makolokolo kumfunga Yanga FC kwenye ligi kuu TZ ni 2019.

Yanga anaendelea kuinjoy upepo mwanana kabisa sababu ni tabia yake kukaa juu zaidi kama TAI, Ndugu yetu Makolokolo sasa [emoji87][emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Dua la kuku, Yanga ndio anaongoza kundi lake paka Sasa[emoji23][emoji23]
 
Hoja hii ipigwe Lamination...[emoji119][emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
uko wapi tuje
na hesabu zako za la tatu D
 
Na kushangazwa utaendelea kushangazwa sana na hii timu. Tangu ya kule Tunisia na Club Africain mpaka leo na USM.
Jamaa wamepiga shot 1 na hawakuwa na shot on target hata 1 mechi nzima, hahahah. Nabi kanunua mechi hii kutoka kwa ndugu zake.
 
Hi
Hizi kauli hizii "Robo FAINALI kwa hizi timu ambazo zishapita hakuna Timu ya kuizuia YANGA" Hayaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…