Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
haa,,hapo umepigwa mzee baba.Nyani huwa haoni kundule [emoji1]View attachment 2558650
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huko CL una kombe lolote la maana!?Niumie na nilishatangulia kwenda Robo, tena CL na sio losers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaaa wee.
[emoji23]haa,,hapo umepigwa mzee baba.
mwaka 1938 apakua na ligi inaitwa "tpl",,kulikua na michuano inaitwa sunlight cup[emoji23]
1964 ikaanzishwa ligi ya taifa(ligi kuu),bingwa wa kwanza kubeba iyo ligi ya taifa ni Sundarland(Simba)alibeba mfululizo 1965 na 1966.
bbc sio watu,kuwalisha matango pori sio sawa[emoji28][emoji23]
Utoto raha sana, hadi unajipinda kuleta Edited photos? Kweli inabidi Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Manyaunyau/Madunduka/Makelele/Mipang'ang'a/Mikia/Zuwena/Kolowizards/Kinyume nyume/Ngada muombewe [emoji2]
Labda msimu ujaoKichaka cha CL tunakichoma motoo
Hater at workHuyu jamaa alikuja akipewa sifa kubwa sana ambazo zilimuweka katika wakati mgumu kwasababu wadau walikuwa wanataka kumlinganisha na Chama
Na yeye alitaka kupita na trend hiyo kuwathibitishia watu kuwa kweli yeye ni bora kuliko Chama mwisho wa siku amejikuta yupo kwenye pressure kubwa
Kwani mbali basi!?Labda msimu ujao
Furaha yao ni kuona Yanga anabaki local,Ili wao watambe internationallyHuu uzi wa sie wana yanga cha kushangaza wanathimbaa wamejaa na makasiriko kama yote
Si tumeridhika na ushindi wetu kama vipi si mfungue uzi wenu wa kufurahia hizo goli 7 zenu🤣🤣🤣🤣
Duwa yako imekubalika, Sasa hivi wataambiana uwanja wa Mkapa ni machinjio.Kila la kheri Yanga...
Natamani kuona timu za nje ziwe zinaogopa kukanyaga uwanja wa Mkapa...
Unajisikiaje SAA hizi?kwa mabeki wale kina Joyce mpira ni wake kabisa mia fil mia.
.......ilitakiwa umalizie Yanga ikifuzu utatowa tako.Yanga anafungwa au sare,na ikishakuwa hivo maana yake ni kuwa Tp mazembe anashinda kule kwa Bamako na kisha anamsubiri yanga kwa hamu pale Lubumbashi amfanyie circumcision afikishe points 9 yanga abaki na points 7 au 8 zake.
Yanga hafuzu,nipo paleeee....
Tuna kikosi Cha majini na nchi kavuVyura mmeweza kucheza vizuri kwenye madimbwi leo.
🤣🤣🤣 ukweli mchungu huu Mkuu.Kuna watu namba mbili kwao ni kama uji na mgonjwa,,kwenye kundi lao ni no 2 kwenye ligi no 2
Ulichoongea Kuna uwezekano kina ukweli kwa asilimia [emoji817]CAF walikua wanawadanganya sana mipira mingi ilikua haionyeshwi na marefa walikua wanazibeba sana baadhi ya Timu hii ilipelekea wengi kutojua ubora halisi wa Timu za Waarabu...nyingi ni za kawaida mno huyu Rais aliwaambia hakuna mechi haitaonyeshwa hata ikichezwa chini ya Ardhi hao Horoya walio kwenye top ten ya ubora ndio wale madudu na madudu mengine mengi tumeyaona hao Al Ahly wanategemea mechi za nyumbani na ndio hao hao wanachukua ubingwa au Fanalist..
Unaongoza la saba F mwenzenu mnyama yupo la Saba AHuku juu, baridi ni kali mno wakuu!
Kama timu yako haiongozi kundi, tafuta mtu mwingine ujadili nae mpira. Sio mimi!View attachment 2558446