Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komorozine ilikuwa katika nafasi gani kwenye rank za ubora kwa wakati huo?
Unawakeraaaaaaaa 😆😆Utopolo mnacheza michuano mshindi wa kwanza anapewa JEZI.
Hapo roho inakuumaaaaUtopolo mnacheza michuano mshindi wa kwanza anapewa JEZI.
Duuh[emoji23][emoji23],Kesho habari kubwa itakuwa Sisi sio seven up tena[emoji12]Hongereni watani wa jadi. Matokeo yakibaki hivi hadi mwisho,Tayari mmeshatinga robo fainali. TP Mazembe kashapigwa goli mbili huko.
Preliminary stage [emoji3][emoji3]
I don’t concur with this my dear! Uungwana unaacha wenye harusi waendelee. Kuna Mwana Yanga amemiss opportunity kwa huyu jamaa kuanzisha huu uzi wakati hii si harusi yakeHapana, Mkuu, hii si mara ya kwanza kwa OKW BOBAN SUNZU kuanzisha nyuzi Yanga inapocheza.
KWa muda mrefu Yanga wamekua wazito sana kuanzisha nyuzi pia wepesi kuzikimbia, hivyo waanzishaji wakubwa wa nyuzi zao inapochezesha huwa ni washabiki wa Simba hawahawa akina OKW BOBAN SUNZU , Scars na wengineo na ndiyo huwa muda mwingi wanakuwepo kuzisindikiza na kuzichangamsha nyuzi za Yanga.
Dah .Azizi Ki hajaingia bado?
Mnavyoombea mechi iishe na tugoli twenu tuwiliDakika ya 88,💚💛💪
Wakae kwa kutulia.Unawakeraaaaaaaa 😆😆
Vipi?Dah .