SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Yani wewe mwenyewe unashangaa watu walivyokamatwa. [emoji38]Hivi hawa waarabu wamelogwa nini?? Hii mvua sio ya kawaida kuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wewe mwenyewe unashangaa watu walivyokamatwa. [emoji38]Hivi hawa waarabu wamelogwa nini?? Hii mvua sio ya kawaida kuna namna
Kumbe maji yaliwabeba Yanga, nasisi wana bahati maana uwanja umetuathiriPira bovuuu shukuruni yale maji nawaambia
Umeenda kuangalia pira au magoli?Alafu mwishowe wanaondoka na ushindi.
jana uliona timu pinzani wana tofauti gani na malimao toka kataviMnakimbia kimbia tuu hapo uwanjani pira mguu wa roho ukiwapima.wachezaji presha iko juu...
..as it stands
Burudani chukua wewe. Sisi tutachukua points 3.Umeenda kuangalia pira au magoli?
Mpira burudani. Hakuna burudani
Ungeenda upige dekiYanga washukuru mvuaaaaa
Hao hao na wakakuzidi wewe ukadumbukia Losers Cup yani kule kwa waliofail Champions League [emoji3][emoji3]champions UKO na vipers na horoya hahahaha
Haamini macho yakeBurudani chukua wewe. Sisi tutachukua points 3.
Piara bovuuuu...pira la ma loser bovuuujana uliona timu pinzani wana tofauti gani na malimao toka katavi
kileleni kuna baridi sanaHao hao na wakakuzidi wewe ukadumbukia Losers Cup yani kule kwa waliofail Champions League [emoji3][emoji3]
Hao hao na wakakuzidi wewe ukadumbukia Losers Cup yani kule kwa waliofail Champions League [emoji3][emoji3]
Vipi mlipocheza na Raja au hata Vipers mlipiga penetration passes 'ngapi enyi makolo bin mbumbumbuuHakuna zile pasi Kofi.. (Outer pass) hakuna pira kuzungurukiwa kwa juu.. Hakuna TECHNICAL TACKLES kama za Inonga.
Hakuna Penetration skills and dribbling skills kama za Chama hakuna zile stop stop.. Finya punguza chapa kibao.
Visigino mnakita chini kama makhirkhiri..ujaona visigino
ujaona kanzu
ujaona skills goli la kwanza
hayo yote anafanyiwa mwarabu achana na ma bwana miti wa jana
Tutaona.Hatuja ziona na Raja hizo,japo mmepita ila Morocco zile mlizowapiga wenzenu mnapigwa nyinyi.