Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Aahaahhaujaona visigino
ujaona kanzu
ujaona skills goli la kwanza
hayo yote anafanyiwa mwarabu achana na ma bwana miti wa jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaahhaujaona visigino
ujaona kanzu
ujaona skills goli la kwanza
hayo yote anafanyiwa mwarabu achana na ma bwana miti wa jana
Nimeposses mpira kwao Tunisia na leo leo kote nime dominate.Hana mpira wa kuizidi Yanga na magoli yake ya kutengwa.Shukran nyingi ziende kwa mvua kubwa iliyoharibu uwanja mpaka timu yangu Monastir kushindwa kuupiga mwingi.
tukatane kituo kinachofata.
Sasa si mko Losers Cup,hivi mnapata kiasi gani kwa kuingia robo fainali kisha linganisha na Simba ndiyo utajua mko mashindano ya Ndondo Cup ya CAF [emoji3]Ndiyo kichaka chenu Cha kujifichia kilicho baki
Em twende kule kwanza tunakusubir kwa story bana,Burudani chukua wewe. Sisi tutachukua points 3.
Kwanza nabisha na mtu anacheza kombe la KUKU? ATANIEKEZA nini mimiVipi mlipocheza na Raja au hata Vipers mlipiga penetration passes 'ngapi enyi makolo bin mbumbumbuu
Jiandae kula wiki na Raja.Tutaona.
Kileleni kwa Ndondo Cup ya CAF [emoji3]kileleni kuna baridi sana
Hadi kundi tunaongozaUtopolo Wameongoza Kila Kitu kwenye Statistics hadi yellow cards..!
Nyie chukueni hizo billioni zenu,Kila mtu apambane alipoSasa si mko Losers Cup,hivi mnapata kiasi gani kwa kuingia robo fainali kisha linganisha na Simba ndiyo utajua mko mashindano ya Ndondo Cup ya CAF [emoji3]
Hata tukifungwa hatuwezi vunja rekodi yenuNimeposses mpira kwao Tunisia na leo leo kote nime dominate.Hana mpira wa kuizidi Yanga na magoli yake ya kutengwa.
Kituo kinachofuata ni Raja,japo mmepita ila zile ulizompiga mwenzio jana ndizo utakazo pigwa ww na Raja.
Raja hao waliotoka na vipers droo??Jiandae kula wiki na Raja.
Mapenzi tu jamanii..Ww ulibeti wewe
KhaaaaaJamani wana utoooooooo
Muwe na usiku mwema japo presha yenu ko juu kwa sbb hamjafikia malengo ya kufunga 8 [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kuwapiga nyingi nyinyi huwa ni kawaida ya Simba.Nimeposses mpira kwao Tunisia na leo leo kote nime dominate.Hana mpira wa kuizidi Yanga na magoli yake ya kutengwa.
Kituo kinachofuata ni Raja,japo mmepita ila zile ulizompiga mwenzio jana ndizo utakazo pigwa ww na Raja.
Mnacheza kombe la walioshindwa club bingwa tu matambo kama yote ingekuwa mnacheza kombe la washindi si mngekuwa hapatoshi?Tushazoea ushindi na tuna iamini timu yetu,haina haja ya kuota moto katikati ya uwanja wala kurudisha basi kinyumenyume,tunajua tunacho kifanya uwanjani.
Haya poleee eee sasa shusha presha chini uenjoyyMapenzi tu jamanii..
Na tutazidi kuvichomw vichaka mnavyojichiamoKileleni kwa Ndondo Cup ya CAF [emoji3]