FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Shukran nyingi ziende kwa mvua kubwa iliyoharibu uwanja mpaka timu yangu Monastir kushindwa kuupiga mwingi.
tukatane kituo kinachofata.
Nimeposses mpira kwao Tunisia na leo leo kote nime dominate.Hana mpira wa kuizidi Yanga na magoli yake ya kutengwa.

Kituo kinachofuata ni Raja,japo mmepita ila zile ulizompiga mwenzio jana ndizo utakazo pigwa ww na Raja.
 
FB_IMG_16792489426473153.jpg

Yanga on 🔥
Mje mnitukaane huku makolo
 
Sasa si mko Losers Cup,hivi mnapata kiasi gani kwa kuingia robo fainali kisha linganisha na Simba ndiyo utajua mko mashindano ya Ndondo Cup ya CAF [emoji3]
Nyie chukueni hizo billioni zenu,Kila mtu apambane alipo
 
Nimeposses mpira kwao Tunisia na leo leo kote nime dominate.Hana mpira wa kuizidi Yanga na magoli yake ya kutengwa.

Kituo kinachofuata ni Raja,japo mmepita ila zile ulizompiga mwenzio jana ndizo utakazo pigwa ww na Raja.
Kuwapiga nyingi nyinyi huwa ni kawaida ya Simba.
tulikupiga 6-0 au kipindi icho kulikua akuna smart phones?
 
Tushazoea ushindi na tuna iamini timu yetu,haina haja ya kuota moto katikati ya uwanja wala kurudisha basi kinyumenyume,tunajua tunacho kifanya uwanjani.
Mnacheza kombe la walioshindwa club bingwa tu matambo kama yote ingekuwa mnacheza kombe la washindi si mngekuwa hapatoshi?
Msimu unaokuja jitahidi mcheze club bingwa maana washindi wapo huko.
Kuna jamaa mmoja wa Yanga alisema hivi "uwanja anaocheza simba, akicheza yanga lazima ishinde"
Hapa ukiangalia mechi alioshinda Yanga away ni Moja tu mpaka sasa. Nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom