MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Wewe tulikuweka tano, haukua mchovu?Yanga wanakutana na wachovu wenzao... Jamus wanacheza ligi daraja la pili sudan kusini
kama walivyokutana na wachovu wengine tarehe 5/11 wakajipigia 5 kwa mojaYanga wanakutana na wachovu wenzao... Jamus wanacheza ligi daraja la pili sudan kusini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushaambiwa HAWANA AKILIUtopolo Kweli ni shida...
Jamus nayo ya kuidamkia kwa Uzi usiku usiku namna hii..!
Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
Kila la kheri Yanga SC
View attachment 2859709Wapi Kikosi?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂1 - 1
Panya wamekimbilia shimoni, wakiona unafuu utawaona sana[emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi umetelekezwa
JKU waliamua wawasaidie kwa kujifungaUtopolo washasawazishiwa huku
Wehh! Nani akupe update wakati utopolo washasawazishiwa [emoji23][emoji23][emoji28]Tupeni Updates basi!!
Jamus forever [emoji3577]