FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Wachezaji wengine tegemeo wanazurula tu hawajaripoti mpaka leo
kocha bado anajaribu jaribu wachezaji kama vile tuko kombe la mapinduzi! Huu ujinga ndo naelewa kwanini akina TSHABALALA hawana likizo kocha serious huwa anaepuka kuitoa timu sadaka
 
Anafirimbwa UTO raha naona mimi!
Screenshot_20240208-210330.jpg
 
Kuna umuhimu mkubwa Mwasibu Sele wetu amfanyie hesabu zake ..
Halafu nimetoka kumshauri masaa kadhaa yaliyopita. Aisee ikitokea akafanya hesabu zake za kihasibu kwa huyu Guede, safari hii zinaweza kuzaa matunda. 😁

Dalili zinaonesha anaweza kuwa kama Hafiz Konkoni. Maana mfumu wa Yanga haumsaidii kabisa mshambuliaji anayeyesubiri kufunga magoli kwenye 18 ya mpinzani.
 
Back
Top Bottom