OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Azam tutafia uwanjani leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwenye ile game ya Ihefu tunaojua mpira tulitoa maoni kama haya, ila nyinyi mashabiki viazi mkaamini kwamba Yanga Sc ni LAZIMA ashinde bila kujua mpira una matokeo matatu. Kilichotokea siku hiyo, kila mtu anajua.Tunaomba hizi kauli zisibadilike baada ya mechi ,maana kawaida ya Makolo baada ya Yanga kushinda utasikia kauli mbalimbali mara mmekutana na timu dhaifu ,bahasha nk
Yanga ni timu kubwa acha dharau.Kwanini tunaongelea hivi vitimu vidogo vidogo wakati hapa Adrika Mashariki na kati wanaume ni Simba na T.P. Mazembe tu.
Bila Tatu Malogo leo habari zingekua zingine ila mwisho wenu umefikaHata kwenye ile game ya Ihefu tunaojua mpira tulitoa maoni kama haya, ila nyinyi mashabiki viazi mkaamini kwamba Yanga Sc ni LAZIMA ashinde bila kujua mpira una matokeo matatu. Kilichotokea siku hiyo, kila mtu anajua.
papatu iko simba ilo mbona liko wazi mzee tuliza wengeSioni timu mle ya kumfunga Azam leo.
Uto na papatu papatu zake akijitahidi Sana atasuluhu!
Vice versa is trueNatabiri Yanga 2 azam 0
Endelea kujifariji.Bila Tatu Malogo leo habari zingekua zingine ila mwisho wenu umefika
Pole sana mdau [emoji41][emoji41][emoji41]Leo Yanga anaenda kukaa paleee juu ya msimamo wa ligi, hakika hatotoka tena.
Yanga 2 - 0 Azam.