SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Huu uwanja usingetumia kwa vimechi vidogo vidogo kama hivi hadi AFL imalizike. Kuna uchakavu wa pitch, matangazo na maeneo mengine unaenda kufanyika. Sijui hili limeruhusiwa vipi. Kisa tu Yanga wanataka wahakikishe wanacheza mbele ya mabango ya AFL kabla hayajaondolewa.