FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Mimi sikuwa na presha yoyote kwani najua Azam ni vibonde tu wa Yanga. Azam sasa wakamalizie hasira zao kwa vibonde wao Simba. Tatizo langu ni IHEFU

Azam anakamia tu game, atapigwa kama mbwa koko aliekula samaki wa siku kuu.
 
Hongereni kwa ushindi, na angalau mmelinda utamu wa ligi, kuwapita sita au tano mapema hivi ingeharibu utamu wa ligi. Tungekuja kuwafunga ndio zingekuwa tisa.

Bora mmepata matokeo leo.

Ova
Kwahiyo b unaamini kabisa mtatufunga? Ngoja niache maana nilichotaka kukisema sio poa.

Ati point 9, sahau hicho kitu msimu huu.
Tuko hapa, tukumbushane…
 
😁😁😁
 
Umbumbumbu na ustaarabu wapi na wapi?

Huoni hata nyuzi nyingi huwa Mbumbumbu wanapovukwa na matusi kedekede?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa. Hawa watu sijui wana shida gani. Huwa wanapenda sana kutukana watu hovyo humu jukwaani.

Ukiandika kitu halafu wakiona hawajafurahishwa nacho, huwa hawawezi kumjibu mtu kwa hoja! Badala yake wanakimbilia kutukana.
 
Sahihi kabisa. Hawa watu sijui wana shida gani. Huwa wanapenda sana kutukana watu hovyo humu jukwaani.

Ukiandika kitu halafu wakiona hawajafurahishwa nacho, huwa hawawezi kumjibu mtu kwa hoja! Badala yake wanakimbilia kutukana.
Wengi wao ni ushamba unawasumbua.
 
Wengi wao ni ushamba unawasumbua.
Niwe tu mkweli; watu wanao ongoza kwa idadi kubwa kwenye ignore list yangu, basi ni mashabiki wa simba. Na sababu kuu ya kuwaweka huko ni ile ya midomo yao tu michafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…