FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Mimi sikuwa na presha yoyote kwani najua Azam ni vibonde tu wa Yanga. Azam sasa wakamalizie hasira zao kwa vibonde wao Simba. Tatizo langu ni IHEFU

Azam anakamia tu game, atapigwa kama mbwa koko aliekula samaki wa siku kuu.
 
Halafu kuna kijana mmoja alitaka kulipwa sawa na Aziz K.
Huu ujumbe Mbumbumbu SC fans wameupita kama vile hawauoni [emoji124][emoji4]
JamiiForums2142472440.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hongereni kwa ushindi, na angalau mmelinda utamu wa ligi, kuwapita sita au tano mapema hivi ingeharibu utamu wa ligi. Tungekuja kuwafunga ndio zingekuwa tisa.

Bora mmepata matokeo leo.

Ova
Kwahiyo b unaamini kabisa mtatufunga? Ngoja niache maana nilichotaka kukisema sio poa.

Ati point 9, sahau hicho kitu msimu huu.
Tuko hapa, tukumbushane…
 
😁😁😁
 
Umbumbumbu na ustaarabu wapi na wapi?

Huoni hata nyuzi nyingi huwa Mbumbumbu wanapovukwa na matusi kedekede?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa. Hawa watu sijui wana shida gani. Huwa wanapenda sana kutukana watu hovyo humu jukwaani.

Ukiandika kitu halafu wakiona hawajafurahishwa nacho, huwa hawawezi kumjibu mtu kwa hoja! Badala yake wanakimbilia kutukana.
 
Back
Top Bottom