FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Mzize tatizo umri umemtupa mkono akili inataka mwili hautaki
 
Mbona wameshambulia hapa mwishoni mwanzo mwisho
Wanashambulia bila malengo n kama wanakutana tu na ball.. walau huyu silla ana kitu Ila Hana pumzi na chemistry na wenzake
 
Back
Top Bottom