Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nenda kapike. Ni bora ungekiwa jikoni sasa. Hiyo sio kauki yangu ni ya mchezaji mmoja huko Ulaya akimwambia refa wa kike.Mnasemajeeeeeeeeee? Nimesema niniiiiiii?
Tunaondoka na mpira leoooooo.
Nakufaaaaaaa, raha hizi kubwa sana jamani!
Iko waziKama ni hivyo basi Man of the match apewe Azizi Ki
Hakuna mhasibu hapo mkuu 😁Na bado tunakuja kwenye Uzi wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TWENDENI KWA MUHASIBUNasubiri hesabbu za kihasibu kutoka kwa okwi boban[emoji23][emoji23][emoji1787]
Usie mpenda kajaNasubiri hesabbu za kihasibu kutoka kwa okwi boban[emoji23][emoji23][emoji1787]
WeweeSISI NDO YANGAAAAAAAAA🤣💚💛
Sema mtani Proved sisi ndiyo Yanga Mahaba yote kwa Yanga.... 😜😜😜Mpendwa Bantu Lady itikia salamu yangu kama upo please...