FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Tunakaribia hapo.
Tuko Bar ya nje tu hapa
Mimi nipo hapa kwenye Jukwaa nawaangalia masteji shoo wanavyo jimwaga.
Na safari zangu pembeni.

Ukitoa Elfu Kumi unapata Safari Kubwa 6.
Ndio nazikanyaga hapa hapa Bar ya Nje ya akina Chichi Somboko.
 
Mimi nipo hapa kwenye Jukwaa nawaangalia masteji shoo wanavyo jimwaga.
Na safari zangu pembeni.

Ukitoa Elfu Kumi unapata Safari Kubwa 6.
Ndio nazikanyaga hapa hapa Bar ya Nje ya akina Chichi Somboko.
Kanyaga mkuu
 
Hali ya hewa ishaharibika tuliamka na jua kali hii mvua sijui nani anaileta naikumbuka ile fainali na USM ALGER mambo yalikuwa hivihivi dah Mungu Baba leo iwe tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…