Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Nimuulize nini sasa?au mshachanganyikiwa kabla ya kipigo?Kamuulize mwenyekiti wako wa mtaa akupe majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimuulize nini sasa?au mshachanganyikiwa kabla ya kipigo?Kamuulize mwenyekiti wako wa mtaa akupe majibu
Hayo macho ungeyawekea virangi vyekundu vya red eyes ili watu wajue kabisa hapo anayetajwa ni MzizeNasubiri kikosi nitabiri matokeo ....
Mzizeeeeee mapema kabisa [emoji102]
Unajua zile mask zinavaliwa kama medical toolIle okra anayovaa inaitwa"Magic Mask" n balaa anakua na mauwezo twice
Akifunga ndo ntawekaHayo macho ungeyawekea virangi vyekundu vya red eyes ili watu wajue kabisa hapo anayetajwa ni Mzize
Hata Okra alipata injuryUnajua zile mask zinavaliwa kama medical tool
Sasa mwanetu kafanya fashion.
Lakini ukianza ku trace back matukio ya nyuma pengine amevaa kwasababu za kiafya.
Tangu mumtoe kwenye lile sanduku la posta siku ya utambulisho wake inawezekana pale ndio alipopatia facial injuries
Lakini sio usoniHata Okra alipata injury
VP Osimhen anavaa kama Medical tool huu karibia msimu wa pili anao na anashangili wakati mwingine kwa kuivua na mtaani hana hiyo mask ?Unajua zile mask zinavaliwa kama medical tool
Sasa mwanetu kafanya fashion.
Lakini ukianza ku trace back matukio ya nyuma pengine amevaa kwasababu za kiafya.
Tangu mumtoe kwenye lile sanduku la posta siku ya utambulisho wake inawezekana pale ndio alipopatia facial injuries
Hahaaaa alikuwa anaenda MarkitView attachment 2914858
Marhaba eti kaka hapa Ngoma alikuwa anaenda wapi
Hahaaaaaa mwaijobe ukiangalia ule uso na kile kichwa, anaonekana ni mtu mgonjwaTuna pa omary mwaijobe
Osimhen alipasuliwa jicho mwaka 2021 kwenye mechi na Inter Milan waliyopoteza kwa mabao 3-2VP Osimhen anavaa kama Medical tool huu karibia msimu wa pili anao na anashangili wakati mwingine kwa kuivua na mtaani hana hiyo mask ?
Kuhusu Okra umepata wapi uthibitisho kuwa anavaa kama fashion na sio kama medical tool ?
Mwiko nyumaGoooooooooooal....
Cha piliiiikk
Kumbe kaka😂😁Hahaaaa alikuwa anaenda Markit
Wapi kikosi?🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad
📆 24.02.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 1:00 Usiku
View attachment 2914180
Nimeweka mbona tazama vizuriWapi kikosi?