FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Nasubiri kikosi nitabiri matokeo ....
Mzizeeeeee mapema kabisa [emoji102]
Hayo macho ungeyawekea virangi vyekundu vya red eyes ili watu wajue kabisa hapo anayetajwa ni Mzize
 
Ile okra anayovaa inaitwa"Magic Mask" n balaa anakua na mauwezo twice
Unajua zile mask zinavaliwa kama medical tool

Sasa mwanetu kafanya fashion.

Lakini ukianza ku trace back matukio ya nyuma pengine amevaa kwasababu za kiafya.

Tangu mumtoe kwenye lile sanduku la posta siku ya utambulisho wake inawezekana pale ndio alipopatia facial injuries
 
Hata Okra alipata injury
 
Shikamoo Yanga
20240219_175341.jpg

Marhaba eti kaka hapa Ngoma alikuwa anaenda wapi
 
Unajua zile mask zinavaliwa kama medical tool

Sasa mwanetu kafanya fashion.

Lakini ukianza ku trace back matukio ya nyuma pengine amevaa kwasababu za kiafya.

Tangu mumtoe kwenye lile sanduku la posta siku ya utambulisho wake inawezekana pale ndio alipopatia facial injuries
VP Osimhen anavaa kama Medical tool huu karibia msimu wa pili anao na anashangili wakati mwingine kwa kuivua na mtaani hana hiyo mask ?

Kuhusu Okra umepata wapi uthibitisho kuwa anavaa kama fashion na sio kama medical tool ?
 
Osimhen alipasuliwa jicho mwaka 2021 kwenye mechi na Inter Milan waliyopoteza kwa mabao 3-2

Alifanyiwa surgery ya kuwekewa vyuma 18 kwenye jicho lake.

Yeye mwenyewe alikuwa anaona kero kuvaa mask lakini kwasababu ya usalama wake amejikuta amezoea.
 
Back
Top Bottom