FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Kila la kheri Timu ya Wananchi. Tunaenda kupambana kujitengenezea mazingira mazuri kuelekea hatua inayofuata.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mtaniiii upoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii mechi itachezwa dakika 75 ikizidi sana 80
 
Yaani acha kabisa na mashabiki pia katupata yaani hatumwachi nyuma peke yake. [emoji23][emoji23]

Manara hana chake tena pale. Akimaliza adhabu aendelee tu na mambo mengine.
Hamumtaki manara tenaa? Mbona ghaflaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilisema kama kocha akikurupuka kupamga kikosi kutokana na mechi ya mwisho dhidi ya timu ya daraja la pili ningemshangaa.

Bahati nzuri kastukia mtego
Huo mtizamo wako ila Gede,mguuni yupo vizuri, ana nguvu na anajua kuhiifadhi mpira tatizo lipo wenye kufunga ambalo hata Misonda analo.
 
Wale Waarabu bado wanaendeleza fujo
 
Sasa hivi wanagombana na Stewards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…