FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Hii mechi ukiacha channels za Lugha ya kiarabu hakuna mwenye anajua channel ya KISW/ENG inayoonyesha Wananzengo? Kwa faida ya tulio mbali na AZAM/TBC
 
Kinachofanyika kati ya Diarra na Lomalisa ndio kile kilichofayika kati ya Ally Salim na Che Malone
 
Baadae mji fariji tuli wakosa kosa saana ..wakati mna vipofu kule mbele
 
Back
Top Bottom