Nisamehe ndugu yangu baada ya mechi twendeni tukamtag mwasibu. πππMnaniacha
Roho mbayaππ
La 3 hilo. Yanga wana hasira na motisha ya hali ya juu. Na wakifunga 4 na kuendelea nafasi ya kupita ni kubwa.Siwadharau. Hata ukiangalia vyanzo vya michezo vinavyo predict mechi yao ya marudiano kule Cairo hakuna ambayo inampa nafasi Yanga kupata ushindi
Sidhani kama hizo taasisi zimetoa takwimu kwa kuidharau Yanga.
Na kingine hii mechi yenyewe bado haijaisha, inawezekana baadaye tukawa na maongezi mengine.
Ndio mpira ulivyo.
Sisi 3 simba na waarabu 0
Unataka kusema CR wabovu ila ukikumbuka mkono wa nyani huna hamu.Aisee hii Yanga imekuja kunishangaza sana
Tunahitaji goli ngapi hadi sasaKinachouma ni kwamba hata akishinda Yanga hafuzu.Hapa yenyewe wanahitaji goli 3 ili wafuzu,kitu ambacho hakiwezekani
Haipo hivyo sasa.Kwani kacheza na CR peke yake??
Now wako sawa wote ni +1