FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Siwadharau. Hata ukiangalia vyanzo vya michezo vinavyo predict mechi yao ya marudiano kule Cairo hakuna ambayo inampa nafasi Yanga kupata ushindi

Sidhani kama hizo taasisi zimetoa takwimu kwa kuidharau Yanga.

Na kingine hii mechi yenyewe bado haijaisha, inawezekana baadaye tukawa na maongezi mengine.

Ndio mpira ulivyo.
La 3 hilo. Yanga wana hasira na motisha ya hali ya juu. Na wakifunga 4 na kuendelea nafasi ya kupita ni kubwa.
 
Update tafadhali

💚💛💚💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛
 
Back
Top Bottom