FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Tunaomba ufanye hapa zile hesabu zako za Kihasibu kumhusu mchezaji wetu Aziz Kii kama hutojali. Na Mwalimu wako adriz atakagua kama umepatia, au la.
Sina papara na Uzi wa kihasibu maana kipindi cha liziko niliandaa makombora zaidi ya 100 sasa nayasogeza karibu na Uzi maana Mwasibu Sele alishaanza Kuota kitambi.
 
Majini ni usajili Bora na uongozi Bora, uwezi kupanda bangi ukategemea kuvuna mahindi na umbumbu wenu ndio utakaowadidimiza miaka yote, mangungu apewe mingine mitano!
Mbona unachanganya ndugu ... Mangungu au Mayele?
 
Wachezaji wa Yanga kama wamechoka, wanafanya makosa mengi sana...

Wakiendelea hivi, hawa waarabu watatupia goli...
 
Back
Top Bottom