FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Wale wapiga kelele sijui mechi ikiisha watasemaje walikuwa wanatuona sisi ni wabovu😂😁hii ndio Yanga SC
 
Siwadharau. Hata ukiangalia vyanzo vya michezo vinavyo predict mechi yao ya marudiano kule Cairo hakuna ambayo inampa nafasi Yanga kupata ushindi

Sidhani kama hizo taasisi zimetoa takwimu kwa kuidharau Yanga.

Na kingine hii mechi yenyewe bado haijaisha, inawezekana baadaye tukawa na maongezi mengine.

Ndio mpira ulivyo.
Eti maongezi mengine sawa chambuzi nguli Jf.
 
Daima mbeleeeeeeeeee💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚!
20240224_202707.jpg
 
Back
Top Bottom