Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia weweeeWanYanga tuchange Hela tumkodi Maghayo aje kujamba humu Mbr mbr Mbr !!!! Makolo yaondoke..
Cc : Intelligent businessman
Hapa hata wakifungwa 10-0 kule bado watakuwa wamepitakimahesabu au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnateseka mkiwa wapi jamani. [emoji23]
Chezaji la Kimataifa.Guede amefunga?
Dah!....Uto...wameweka historia aisee.....hatuna cha kuwatambia tena.Simba tunateseka
Na katingaaa robooo final [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah ashamtandika mtu Nne
Aisee ila mpira una maajabu yake jamaniKuna not nili mwambia yanga ana nafasi ya kupita zaidi ya Simba.
👉Aka bisha Sana, kesho namuona mapema😆😂
Mbrrrrriii mbriiiiiiiii mbriiiiiiiii pata harufu ya bangi🤣🤣🤣Tulia weweee
Mwache ale Ice cream kuleDuh!....Masikini Feisal.....
Nyota ya Uto....imeng'aa sana .
Bado ujasema[emoji1]Na katingaaa robooo final [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]