FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Tatizo la kocha wetu lipo kwenye kufanya tu sub! Mechi ya leo ilimhitaji zaidi Mzize badala ya huyu Guede! Na pia Nzengeli alitakiwa apumzike, na nafasi yake kuchukuliwa na Okrah!!

Baadaye angempumzisha mchezaji yeyote yule na kuingiza kiungo mkabaji au beki!
FUTA KAULIIIII😂
 
Back
Top Bottom