joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Shughuli ishaisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshaendaaaa bhanaaaaaaAna kikosi kizuri sana nimeangalia Club bingwa yote
Ukiinama nchaleeee ....Unataka ndo hivyo hutaki ndo hivyooo. 😂😂😂
FUTA KAULIIIII😂Tatizo la kocha wetu lipo kwenye kufanya tu sub! Mechi ya leo ilimhitaji zaidi Mzize badala ya huyu Guede! Na pia Nzengeli alitakiwa apumzike, na nafasi yake kuchukuliwa na Okrah!!
Baadaye angempumzisha mchezaji yeyote yule na kuingiza kiungo mkabaji au beki!
Kuna not nili mwambia yanga ana nafasi ya kupita zaidi ya Simba.Yanga washapita
Shadeeya uwiiiii!Unataka ndo hivyo hutaki ndo hivyooo. 😂😂😂
Dah ashamtandika mtu NneAmeshaendaaaa bhanaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]