Yaniii buruuuuuuuuddaaannnniiiiii kabisaaaa💚💚💚💪💪Siku muruuua kabisa.
Yaniii buruuuuuuuuddaaannnniiiiii kabisaaaa💚💚💚💪💪Siku muruuua kabisa.
Bado hujasemaaaa!Mgumba kabeba mimba mate mji mzima
Yeah!... hatimaye wamevuka malengo waliojiwekea.Hapa hata wakifungwa 10-0 kule bado watakuwa wamepita
Mwarabu kakoma na watakomaSiku zote tunasema Yanga inakuwa kama mbogo second half.
Mwarabu naye kajichanganya. 😂😂
NImefuta my dear! 🙌FUTA KAULIIIII😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nitasemaa tyuuh.
Kabeeesaaa. 🤸🏽🤸🏽🤸🏽Habareeee ndo hiyooooo👌👌👌👌👌👌👌👌!
Pacome dayyyyyyyy🤸🤸🤸🤸🤸🤸💚💚
Mpaka mseme[emoji1]Mgumba kabeba mimba mate mji mzima
hebu nidadavulie ndugu mi mzeeHapa hata wakifungwa 10-0 kule bado watakuwa wamepita
Aisee mna timu Bora sana kwa sasaSiku muruuua kabisa.
Ile gemu ya jana simba walizinguaHivi simba tunashindwa kufanya usajili bora kama wa gongowazi?