FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

hebu nidadavulie ndugu mi mzee
H2h Yanga na Cr Belouzidad wote wameshinda nyumbani

Yanga ana advantage ya magoli 4 hivyo anapita

Ila ikitokea hapa Cr Belouzidad wakapata bao 1 tu basi matumaini kwa Yanga yanaweza kupungua
 
Wana Yanga Jf msiwe na haraka baada ya hapa Kula shiba vizuri shushia na soda baridi kisha vaa pendeza tukutane Uzi wa Kihasibu tufanye uchambuzi wa mechi ya Leo.

Cc : Shadeeya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
H2h Yanga na Cr Belouzidad wote wameshinda nyumbani

Yanga ana advantage ya magoli 4 hivyo anapita

Ila ikitokea hapa Cr Belouzidad wakapata bao 1 tu basi matumaini kwa Yanga yanaweza kupungua

Hawa wanapigwa mkono
 
Back
Top Bottom