Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Namna gani kocha wa CRB anapanick.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaingia kwenye mfumoooo?Siku zote tunasema Yanga inakuwa kama mbogo second half.
Mwarabu naye kajichanganya. [emoji23][emoji23]
Wale waswahili wa msimbazi hawana mawazo haya.Hivi simba tunashindwa kufanya usajili bora kama wa gongowazi?
Wewe acha tu kaka.Huku yamekata umeme 🚮🚮🚮
Bado mkuuUtopolo to the quarter finals
Feisal ndo mdudu gani huyo ?Duh!....Masikini Feisal.....
Nyota ya Uto....imeng'aa sana .
Kabisa Mkuu na wachezaji wanajua kujitoa aiseeee.Aisee mna timu Bora sana kwa sasa
H2h Yanga na Cr Belouzidad wote wameshinda nyumbanihebu nidadavulie ndugu mi mzee
Inauma sana Na inakereketa sana Unaweza ukarudi Nyumbani umtandike mwanao anayeshabikia Yanga bila sababuNa katingaaa robooo final [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi mnapost selfiee, kimeumanaa leo.Blichi tunayo na tunatamba nayo week nzimaaaView attachment 2915046
H2h Yanga na Cr Belouzidad wote wameshinda nyumbani
Yanga ana advantage ya magoli 4 hivyo anapita
Ila ikitokea hapa Cr Belouzidad wakapata bao 1 tu basi matumaini kwa Yanga yanaweza kupungua