FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

H2h Yanga na Cr Belouzidad wote wameshinda nyumbani

Yanga ana advantage ya magoli 4 hivyo anapita

Ila ikitokea hapa Cr Belouzidad wakapata bao 1 tu basi matumaini kwa Yanga yanaweza kupungua
ok ngoja kesho nikaliweke kijiweni hili nisikie wadau wanasemaje
 
Back
Top Bottom