Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hivi kumbe hawajapita Mkuu? 😂Hatimaye...
Sasa nguvu tuweke kwa Simba nayo ipite...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kumbe hawajapita Mkuu? 😂Hatimaye...
Sasa nguvu tuweke kwa Simba nayo ipite...
wamejichangany kweny mfumo hakuna namnaUnajua Waarabu wamekuwa mafala sana
huyu kasha lewa mafanikio na historia kuishia robo, mwenzake unamwona anavyo pambana ye kasha lewa sifaHatimaye...
Sasa nguvu tuweke kwa Simba nayo ipite...
Mpira hawachezi binadamu unadhani kutakuwa na matokeo gani zaidi haya matani 😁😁Wale wa kelele za Majini matokeo ndo kama haya jamani. 😂😂
Wale wa kelele za Majini matokeo ndo kama haya jamani. 😂😂
HahahahaHivi kumbe hawajapita Mkuu? [emoji23]
mzee hapokei simu hadi zipite siku mbiliAngalia wasije kukutukana tu 🤣🤣
Naunga mkono hojaHaya nendeni mka edit manyuzi yenu
tunaenda mchapa al ahly kwao ajue kabisa tuna litaka na hiliHongera Yanga Kwa kufuzu robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika Kwa mara ya kwanza 🙏🙏🙏🙏