Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Wenzenu wanacheza mpira uwanjani, nyinyi siku zote mnapenda kucheza mpira wa mdomoni! Haya mseme sasa!Hii ya leo imenishtua sana na kuona hata matumaini yangu kwenye mechi na Galaxy naweza kukutana na matokeo tofauti