FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Hongereni Utopolo aka Majini FC. Mmewaonyesha waarabu nchi hii ina mpira mkubwa na ligi bora.
 
Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Kinachoamua ni Head to head na sio goal difference so mechi za mwisho hazina maana.

Al Ahly na Yanga ndio wamefuzu.

View: https://www.instagram.com/p/C3vUyPCr8Nc/?igsh=MXI1Z3ZuZzE4YjNpZw==
 
Sijaelewa kwanini wanasema Yanga Kashafuzu Robo fainali?
Sababu Bado Mechi moja na Al Ahly je Akifungwa halafu CR belouzdad akashinda dhidi ya Medeama?
Watakua wanalingana point then wanaangalia head to head kati ya yanga na CRB nani kamfunga mwenzake gori nyingi! Bro umepaniki nini! Yanga kashatinga robo fainali
 
Back
Top Bottom