Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Hongereni Utopolo aka Majini FC. Mmewaonyesha waarabu nchi hii ina mpira mkubwa na ligi bora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa Nina risiti zako kibao nasubiri nile hapa kwa Shemeji nianze kudili na wewe jumla jumla..
Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Kinachoamua ni Head to head na sio goal difference so mechi za mwisho hazina maana.Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Watakua wanalingana point then wanaangalia head to head kati ya yanga na CRB nani kamfunga mwenzake gori nyingi! Bro umepaniki nini! Yanga kashatinga robo fainaliSijaelewa kwanini wanasema Yanga Kashafuzu Robo fainali?
Sababu Bado Mechi moja na Al Ahly je Akifungwa halafu CR belouzdad akashinda dhidi ya Medeama?
Tunampga au droo inatosha sanaSasa tunataka kuongoza kundi tunaenda kumpiga Ahly kwake
Kabisa Mkuu. Hajategemea mwarabu.Mwarabu kakoma na watakoma
Mkuu mbona nakuona unaanza kuwa na vinasaba na hawa utopoloHongereni sanaa wataniii.
YAn sisi hatunaga jambo dogo. Uzi bado utaendelea kuwa juu hata ufutwe comments zote za humu
Imagine Tp Mazembe naye kampiga Pyramid 3 bila!Zama zao za kutamba zinaelekea ukingoni.
Waarabu feki. 😂😂
huyu kasha lewa mafanikio na historia kuishia robo, mwenzake unamwona anavyo pambana ye kasha lewa sifa
Noorah kitambo sanaKwishnery Pateri kemcho amdabati ,vijimambo balaalacheee.
Sasa tutakaenda kumtandika all ahly misiriSasa hapa ndio ile kauli ya maajabu ya soka.
Ila katika data za kawaida kabisa nafasi kubwa ya ushindi anapewa Al Ahly
Hivi kumbe hawajapita Mkuu? 😂
Sema Yanga SC hata na wewe njoo tukupige 5 tenaHongera Yanga Kwa kufuzu robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika Kwa mara ya kwanza 🙏🙏🙏🙏
Halafu kuna ule uzi nilikutag juzi ndugu yangu nao tukaufanyie kazi. 😂😂😂Wewe jamaa Nina risiti zako kibao nasubiri nile hapa kwa Shemeji nianze kudili na wewe jumla jumla..