FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Km ambavyo wataumia wengine na kufungwa watafungwa Jwaneng. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapeee wapeee haoo...huo ndo ukweli hapa ni titi fo tati..
 
Na siwakimbii nawakabili mmoja mmoja.

Kushinda kwenu hakuwezi kuninyima haki yangu ya kufurahia maisha mengine
Sasa hapo ulipo unafurahia nini, zaidi tu ya kusikilizia maumivu!
 
Ili Cr belouzdad ipite inahitaji kuifunga modeama
goli 6-0
kisha Al ahly amfunge YANGA goli 2-0
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…