FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Km ambavyo wataumia wengine na kufungwa watafungwa Jwaneng. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapeee wapeee haoo...huo ndo ukweli hapa ni titi fo tati..
 
Ili Cr belouzdad ipite inahitaji kuifunga modeama
goli 6-0
kisha Al ahly amfunge YANGA goli 2-0
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
 
Back
Top Bottom