Nasi
Yanga tushafuzu hata kama CR ashinde 100-0.Ili Cr belouzdad ipite inahitaji kuifunga modeama
goli 6-0
kisha Al ahly amfunge YANGA goli 2-0
Dah kumbe we ni mtaalam wa mabasi ya mchina tuYanga bado hawatapita hili kundi, mechi ijayo anapoteza kwa Ahly halafu Belouzidad wanashinda dhidi ya Medeama. Safari ya Yanga itakomea hapo
Amekua mshambaaa...Dogo siku hizi sijui umekuja kuwaje yani
Nakuja mtani wangu ❤️Watani wangu wapendwa sana...
Charles kilian
Tate Mkuu
Ngalikihinja
Labani og
Nawasalimia kwa jina la 4G MAJINI.
Karibuni Calabash niwanunulie kuku mfurahie ushindi wenu wa kuingia robo fainali ya kwanza baada ya miaka 75...duuhh...hii ni balaa
Kwa kanuni za CAF katika mashindano haya, Yanga hata akifungwa magoli 50 kwa bila mechi yake ya mwisho dhidi ya Al Ahly bado atakuwa amefuzu.Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Hiyo ni kwa mjibu wa maumivu yako. Kwa mjibu wa CAF YANGA tushafuzu.Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.
Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.
Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
hahaha. Hapana, natamani sana mshinde. Tukienda timu mbili robo, itakua good sana!Km ambavyo wataumia wengine na kufungwa watafungwa Jwaneng. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Ushamaliza kuota?Nimeota kuwa watatoka sare 1-1 na hivyo Yanga kutolewa kwenye mashindano haya. CRB wataanza kufunga kipindi cha kwanza, na Yanga itarudisha katika kipindi cha pili.
Ni ndoto tu!
Pacooooooomeeee anaweka chuma cha 5 hapa Benjamin Mkapa dhidi ya Simba.Watani wangu wapendwa sana...
Charles kilian
Tate Mkuu
Ngalikihinja
Labani og
Nawasalimia kwa jina la 4G MAJINI.
Karibuni Calabash niwanunulie kuku mfurahie ushindi wenu wa kuingia robo fainali ya kwanza baada ya miaka 75...duuhh...hii ni balaa
Nilitamani ufafanuzi katika hili, nilijua sheria za uefa na caf ni tofauti kwenye sheria za kufunga/kufungwa mkilingana points.Nasi
Yanga tushafuzu hata kama CR ashinde 100-0.
Ni kwa sababu mukilingana points cha kwanza wana angalia h2h kisha GD.
Lakini hata hivyo sisi Young Africans SC tutamfunga Ahly pale Cairo. Kwa hiyo wewe umia tu.
Siyo kwa hii Yanga,hii Yanga inafika fainali,ilionja utamu wa fainali,imeingia huku,inatoboa.Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.
Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.
Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Kila la heri na hizo backup zako. Ila ukumbuke tu Yanga tayari ameingia hatua ya robo fainali huku akiwa na mchezo mmoja mkononi!Nina backup kibao za kunipatia furaha ukiachana na matokeo ya Yanga kufungwa.
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.
Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.
Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Ngebe zao ntawakataa tar 2, wananijua vzuri, huwa wanakimbiana na kuzima cm.Na tunakoelekea tutawasumbua sana Mtani. [emoji23][emoji23]
Kabisa Mkuu. 😀Ukiinama nchaleeee ....
ukiinuka nchaaaleeee .... ndio hiiii
Haipo hiyo kanuniii.Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.