FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Kila la heri na hizo backup zako. Ila ukumbuke tu Yanga tayari ameingia hatua ya robo fainali huku akiwa na mchezo mmoja mkononi!

Na hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa.
Sasa robo fainali nayo ni habari mpya kwa Simba?

Nyie mnavumna rekodi zenu wenyewe

Sisi huko kwenye robo sio malengo kabisa
 
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Ushindi wa 4-0 umeibeba yanga mpk ribo Fainal
Head to head
Hicho ndicho ninachokuambia
 
Ukijua ni uchawi na ndumba zimetumika msikilize Ally Kamwe anasema tutaenda na hizi bleach Misri tukiwa tumeshavuzu...jamani Simba mmeingia kwny soka la kizungu mmeacha ndumba ona sasa haya mautopolo yatatukaranga...
Najua maumivu unayopitia. Ni sawa na kugongwa wote na aliegongwa. Bleach ni ndumba mama?. Pole
 
Nilitamani ufafanuzi katika hili, nilijua sheria za uefa na caf ni tofauti kwenye sheria za kufunga/kufungwa mkilingana points.
Asante.
Sheria za CAF katika mashindano haya ni kuwa, ikiwa timu zitalingana points, kanuni inayofuata ni face to face results, yaani utofauti wa magoli baina yao walipokutana.

Kwa kesi ya Yanga, mechi ya kwanza yanga alifungwa na muarabu 3 bila, halafu leo kamfunga muarabu 4 bila, maana yake, baina yao, tofauti ni goli moja ambalo analo Yanga.
 
Ngebe zao ntawakataa tar 2, wananijua vzuri, huwa wanakimbiana na kuzima cm.
Nilivyo mwehuu huwa nawasuuza wote kwa Pa1.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna m1 ananambia hapa, ananiwekeaa kiporoo, had match na jwaneng iishe ndo tutaongea vzr, maan asije akajimaliza afu kikamkuta kitu hyo siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole Mtani ndo ujue kila muosha uoshwa. Hapo wanakusubiria kwa hamu.

Mie naombea game iende ndivyo sivyo ili wakusuuze vizuri. 🤸🏽🤸🏽
 
Back
Top Bottom