Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Naahidi kuchangia mifuko 20 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa sanamu la Rage! 😁Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.
Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.
Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.