FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Yanga wamefuzu robo fainali
emoji23.png
emoji23.png

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nasi
Ili Cr belouzdad ipite inahitaji kuifunga modeama
goli 6-0
kisha Al ahly amfunge YANGA goli 2-0
Yanga tushafuzu hata kama CR ashinde 100-0.
Ni kwa sababu mukilingana points cha kwanza wana angalia h2h kisha GD.
Lakini hata hivyo sisi Young Africans SC tutamfunga Ahly pale Cairo. Kwa hiyo wewe umia tu.
 
Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Kwa kanuni za CAF katika mashindano haya, Yanga hata akifungwa magoli 50 kwa bila mechi yake ya mwisho dhidi ya Al Ahly bado atakuwa amefuzu.
 
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Hiyo ni kwa mjibu wa maumivu yako. Kwa mjibu wa CAF YANGA tushafuzu.
 
Km ambavyo wataumia wengine na kufungwa watafungwa Jwaneng. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha. Hapana, natamani sana mshinde. Tukienda timu mbili robo, itakua good sana!
 
Yanga timu hatari sanaa, leo imewachakaza waarabu milele hawatasahau
 
Watani wangu wapendwa sana...
Charles kilian
Tate Mkuu
Ngalikihinja
Labani og
Nawasalimia kwa jina la 4G MAJINI.
Karibuni Calabash niwanunulie kuku mfurahie ushindi wenu wa kuingia robo fainali ya kwanza baada ya miaka 75...duuhh...hii ni balaa
Pacooooooomeeee anaweka chuma cha 5 hapa Benjamin Mkapa dhidi ya Simba.

Leo tena Pacome anainua wanayanga.
 
Nasi

Yanga tushafuzu hata kama CR ashinde 100-0.
Ni kwa sababu mukilingana points cha kwanza wana angalia h2h kisha GD.
Lakini hata hivyo sisi Young Africans SC tutamfunga Ahly pale Cairo. Kwa hiyo wewe umia tu.
Nilitamani ufafanuzi katika hili, nilijua sheria za uefa na caf ni tofauti kwenye sheria za kufunga/kufungwa mkilingana points.
Asante.
 
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Siyo kwa hii Yanga,hii Yanga inafika fainali,ilionja utamu wa fainali,imeingia huku,inatoboa.
 
Nina backup kibao za kunipatia furaha ukiachana na matokeo ya Yanga kufungwa.
Kila la heri na hizo backup zako. Ila ukumbuke tu Yanga tayari ameingia hatua ya robo fainali huku akiwa na mchezo mmoja mkononi!

Na hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa.
 
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
 
Na tunakoelekea tutawasumbua sana Mtani. [emoji23][emoji23]
Ngebe zao ntawakataa tar 2, wananijua vzuri, huwa wanakimbiana na kuzima cm.
Nilivyo mwehuu huwa nawasuuza wote kwa Pa1.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna m1 ananambia hapa, ananiwekeaa kiporoo, had match na jwaneng iishe ndo tutaongea vzr, maan asije akajimaliza afu kikamkuta kitu hyo siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Haipo hiyo kanuniii.
 
Back
Top Bottom