FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Kila la heri na hizo backup zako. Ila ukumbuke tu Yanga tayari ameingia hatua ya robo fainali huku akiwa na mchezo mmoja mkononi!

Na hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa.
Sasa robo fainali nayo ni habari mpya kwa Simba?

Nyie mnavumna rekodi zenu wenyewe

Sisi huko kwenye robo sio malengo kabisa
 
Ushindi wa 4-0 umeibeba yanga mpk ribo Fainal
Head to head
Hicho ndicho ninachokuambia
 
Ukijua ni uchawi na ndumba zimetumika msikilize Ally Kamwe anasema tutaenda na hizi bleach Misri tukiwa tumeshavuzu...jamani Simba mmeingia kwny soka la kizungu mmeacha ndumba ona sasa haya mautopolo yatatukaranga...
Najua maumivu unayopitia. Ni sawa na kugongwa wote na aliegongwa. Bleach ni ndumba mama?. Pole
 
Nilitamani ufafanuzi katika hili, nilijua sheria za uefa na caf ni tofauti kwenye sheria za kufunga/kufungwa mkilingana points.
Asante.
Sheria za CAF katika mashindano haya ni kuwa, ikiwa timu zitalingana points, kanuni inayofuata ni face to face results, yaani utofauti wa magoli baina yao walipokutana.

Kwa kesi ya Yanga, mechi ya kwanza yanga alifungwa na muarabu 3 bila, halafu leo kamfunga muarabu 4 bila, maana yake, baina yao, tofauti ni goli moja ambalo analo Yanga.
 
Pole Mtani ndo ujue kila muosha uoshwa. Hapo wanakusubiria kwa hamu.

Mie naombea game iende ndivyo sivyo ili wakusuuze vizuri. 🤸🏽🤸🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…