FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Unamjua Mamelodi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye kama nani huyo anakutaja na akina Petro de Luanda wanakamndaga vizuri tu mtani wangu au huwajui Petro de Luanda nyie endeleeeni kutuchukulia poa tu πŸ˜‚
 
Hongereni Yanga kufuzu hatuabya makundi CAF CL kwa mara ya kwanza. Kisasi kimelipwa na historia mpya imeandikwa πŸ‘
 
Kaka adriz risiti hii hapa embu njoo tucheke hapa mwingine huyu hapa mungu kamlaani hapaπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…