FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Unamjua Mamelodi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye kama nani huyo anakutaja na akina Petro de Luanda wanakamndaga vizuri tu mtani wangu au huwajui Petro de Luanda nyie endeleeeni kutuchukulia poa tu 😂
 
Hongereni Yanga kufuzu hatuabya makundi CAF CL kwa mara ya kwanza. Kisasi kimelipwa na historia mpya imeandikwa 👏
 
Roho mbaya na wivu ni kitu kibaya sana Cc adriz kaka umeona risiti ya huyu jamaaa 😁🤣
Screenshot_20240217-073834.jpg
 
Kaka adriz risiti hii hapa embu njoo tucheke hapa mwingine huyu hapa mungu kamlaani hapa😂😁😁🤣🤣😁😁😂
Screenshot_20240218-004255.jpg
 
Back
Top Bottom